The United Republic of Tanzania

TANZANIA INVESTMENT CENTRE

Ili kuepuka maambukizi ya virus vya ugonjwa wa CORONA (COVID-19) wateja wetu wanatakiwa kutumia huduma zetu kwa njia ya kielektroniki .


 TAARIFA KWA UMMA

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinapenda kuwatangazia Wawekezaji, Washirika, Wadau na Umma kwa ujumla kuwa kinaendelea kutoa huduma zake kama kawaida katika kufikia Uchumi wa Kati na Viwanda kupitia uwekezaji. Hata hivyo, ili kuepuka maambukizi ya virus vya ugonjwa wa CORONA (COVID-19) wateja wetu wanatakiwa kutumia huduma zetu kwa njia ya kielektroniki kuanzia tarehe 20 Aprili, 2020. Mwongozo wa kupata huduma zetu unapatikana kupitia tovuti ya taasisi (www.tic.go.tz). Aidha, wadau wote mnashauriwa kuzingatia maelekezo ya Serikali.

 

Wale watakaolazimika kufika Ofisi za TIC kwa makao makuu na kanda zetu wanatakiwa wavae barakoa (Masks-N95) na wachukue tahadhari zote zinazotakiwa kuepusha maambukizi ya virusi vya Corona.

 

Kwa mawasiliano zaidi  wasiliana nasi kupitia:-

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)

Makao Makuu

S.L.P 938

Mtaa wa Shaaban Robert

Dar es Salaam

Simu:+255 734 150 649-Idara ya Huduma kwa Wawekezaji

Simu:+255 734 150 648- Idara ya Huduma kwa Wawekezaji

Simu:+255 737 879 087-Kitengo cha Habari na Mahusiano kwa Umma

Simu:+255 754 858 854-Idara ya Uhamasishaji Uwekezaji

Simu:+255 734 205982-Idara ya Fedha na Utawala

Barua Pepe: information@tic.go.tz

Tovuti:   www.tic.go.tz

   

NOTICE TO THE PUBLIC

 

The Tanzania Investment Centre (TIC) would like to inform its esteemed investors, partners, stakeholders and the general public that, we continue to improve our services in line with the nation's target of attaining middle income economy and industrial economy through investment. In an effort to curb spread of the global pandemic (Corona virus) that causes COVID-19, our customers are highly encouraged to access our services electronically effective 20th April 2020. The guidelines on accessing our services can be obtained through our website (www.tic.go.tz). All are further reminded to adhere to the directions given out by the Government from time to time.

 

If it is critical to pay a physical visit to our offices, then maximum protection must be observed including putting on masks (N95), sanitizing hands and observing distances from one another. 

 

For more information please contact us via:

Tanzania Investment Centre

P.O. Box 938

Shaaban Robert Street

Dar es Salaam

Tel:+255 734 150 649 Department of Investment Facilitation

Tel:+255 734 150 648 Department of Investment Facilitation

Tel:+255 754 858 854 Department of Investment Promotion

Tel:+255 734 205982 Department of Accounts

Tel:+255 737 879 087 Public  Relation Unit (General Enquiries)

Email: information@tic.go.tz

Website: www.tic.go.tz

 

 

 

Social Medias

Copyright ©2018 Tanzania Investment Centre.
All Rights Reserved.
Designed, Developed, and Maintained by Tanzania Investment Centre(TIC)