The United Republic of Tanzania

TANZANIA INVESTMENT CENTRE

TIC yachangia Sh. Bilioni 1.2, hii ni katika hatua ya Serikali ya kupokea gawio na michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika yake .


Katika hatua ya Serikali ya kupokea gawio na michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika yake, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mchango wa Shilingi Bilioni 1.2

 

Mchango huo umetolewa kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango tarehe 25 Novemba, 2019 na Mwenyekiti wa Bodi ya TIC Prof. Longinus Rutasitara (wa pili kulia) akiambatana na Meneja wa TIC Kanda ya Kati Revocatus Rashel (wa kwanza kilia), jijini Dodoma.

 

Kufikia hatua hiyo, kunaiwezesha TIC kuwa mojawapo ya Taasisi 83 za Serikali zilizokwishatoa gawio na michango yake kwenda Serikalini.

Social Medias

Copyright ©2018 Tanzania Investment Centre.
All Rights Reserved.
Designed, Developed, and Maintained by Tanzania Investment Centre(TIC)