The United Republic of Tanzania

TANZANIA INVESTMENT CENTRE


Ziara ya Mkurugenzi Mtendaji akitembelea mashamba ya uwekezaji Mkoani Kigoma, Aprili, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Geoffrey Mwambe akionyeshwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanali Simon Anange eneo ilipoondolewa bikoni wakti wa ziara ya kutembelea mashamba ya uwekezaji,Kasulu.
Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Geoffrey Mwambe akijadiliana jambo na timu ya Wilaya ya Kibondo alipotembelea mashamba ya uwekezaji Aprili,2020
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya OK Bw. Fadl Ghaddar Plast akiongoza msafara wa Waiziri Kairuki kukagua kazi za kiwanda hicho May,2020
Mojawapo ya mitambo ya kampuni ya OK Plast inayochakata taka chakavu kwa ajili ya kuzalisha rodi za shaba
Mratibu wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji TIC Bw. Abubakar Ndwata akifanya majadiliano na uongozi wa kampuni ya OK Plast baada ya ziara 21 May,2020

Social Medias

Copyright ©2018 Tanzania Investment Centre.
All Rights Reserved.
Designed, Developed, and Maintained by Tanzania Investment Centre(TIC)