05 Mar, 2025
THE HONORABLE MINISTER'S VISIT TO ASSESS THE PROGRESS OF INVESTMENT PROJECTS IN THE COAST REGION

Mhe. Prof. Kitila Mkumbo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji amefanya ziara kutembelea na kuona maendeleo ya miradi ya uwekezaji katika Mkoa wa Pwani.
Katika Ziara hiyo ameambatana na baadhi ya wabunge ili waweze kujionea hali halisi ya maendeleo ya uwekezaji nchini.
Miradi aliyotembelea leo ni pamoja na Lodhia Industries ambacho ni kiwanda cha kutengeneza mabati na nondo na KEDA (T) Ceramics Co. Limited kiwanda cha kuzalisha kioo vilivyopo Mkuranga
Kwa upande wa TIC waliongozwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uwekezaji Bw. James Maziku